Msaada au ushauri wanapouza mitumba grade 1 ya kike

cute mimi22

Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
46
Reaction score
19
Habari wana jf samahani nlikua nataka kuanza biashara ya nguo za kike za mitumba naomba msaada au hata ushauri ni sehemu gani kwa hapa dar nnapoweza pata mitumba mizur ya kike grade 1
 
mcheck mdada flani bonge la mjasiliamali anajiita sachques instagram duka lake liko poliso mabatini.
Uwa anauza pia mabaro ya mitumba grade 1
 
Back
Top Bottom