Natafuta kiwanja cha kununua

Natafuta kiwanja cha kununua

Aunty kemmy

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
46
Reaction score
23
Habari zenu wanajf
Natafuta kiwanja maeneo ya boko,
Bunju, madale na mbweni.Nataka kilichopimwa tayari na kama kina hati ititakuwa vizuri zaidi.
Mwenye nacho andika na bei kabisa na ukubwa gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom