AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,426
- 1,402
Mimi ni mgeni hapa Iringa mjini ,naomba anaejua au Dalali ,nahuitaki chumba na sebule (self ) .isiwe mbali Sana na mjini .
Dah...hivi hiyo Iringa yenyewe mjini ni wapi? Posta? Legeza Mwendo? Makanyagio? Kitanzini? Mkimbizi? Kwasemtema?[emoji13] [emoji13]Mimi ni mgeni hapa Iringa mjini ,naomba anaejua au Dalali ,nahuitaki chumba na sebule (self ) .isiwe mbali Sana na mjini .
0715813240 Mawasiliano .
nenda sentema...mwang'ingo..mkimbizi...bwawani...TRM...ngome... kigonzile hukosi chumba huko...mwambie mwenyeji wako akupeleke hukoMimi ni mgeni hapa Iringa mjini ,naomba anaejua au Dalali ,nahuitaki chumba na sebule (self ) .isiwe mbali Sana na mjini .
0715813240 Mawasiliano .