Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Wadau, kwa anayefahamu tafadhali nijulishe wapi naweza nunua mashine za kuosha vyombo vya kulia chakula (dish washers) nimepita maeneo kadhaa sijazipa. Kwa anayejua anieleze ukubwa wa mashine na bei yake.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.