PONGWE,NSELUKA DAY CARE CENTER


Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
2,304
Points
2,000
Emilias G

Emilias G

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
2,304 2,000
Heshima kwenu wadau,
Shule ya watoto wadogo imefunguliwa Pongwe,umbali wa nusu kilomita toka Pongwe bus station.
Shule inamilikiwa na mwalimu kwa taaluma na itafundishwa na kuongoza naye.Ina mazingira rafiki kwa kujifunzia watoto halikadhalika utulivu na usalama wa hali ya juu.

Inapokea watoto kuanzia miaka 2-5(Baby class to KgIII)
Shule ipo mtaa wa Sumbawanga,Pongwe,Tanga.
Fomu zinapatikana shuleni.

MAWASILIANO:
0784 469084
0652 515264
0718 194799
 

Forum statistics

Threads 1,283,912
Members 493,869
Posts 30,805,876
Top