Eneo linakodishwa Kange-Tanga

Eneo linakodishwa Kange-Tanga

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,289
Reaction score
1,426
Nina eneo la kiwanja maeneo ya Kange -TANGA , nyuma ya kiwanda cha PEMBE, eneo hili linafaa sana kwa kuwekeza katika biashara ya hardware ,kiwanja ni kikubwa sana karibia hatua 40x40 . Kwa mwekezaji tuta andikishiana mkataba kwa mwanasheria kwa kipindi kirefu kama miaka 10 au 15 pamoja na uwezekano wa kununua kiwanja.
Nimetaja biashara ya hardware sababu ni eneo la ujenzi na watu wengi sana wanajenga. Mimi mwenyewe nlikuwa nafikiria kufanya biashara hiyo lakini kwa sasa niko nje ya nchi kimasomo .Pia nilikuwa nafikiria kufanya biashara ya ubia lkatika hardware lakini hiyo ni last option.Kwa yeyote ambae yuko seriously na hili eneo anaweza kuni inbox au text +447824632232
asanteni
 
Pesa ngapi unataka kwa mwaka...weka hapa tujuwe au kama wauza wataka pesa ngapi....kuwa straight forward acha uswahili.
 
Pesa ngapi unataka kwa mwaka...weka hapa tujuwe au kama wauza wataka pesa ngapi....kuwa straight forward acha uswahili.
Panga kuona eneo kwanza sio unapiga kelele, mtu uko Kigoma hata nikiweka tsh laki moja utasema nyingi au kidogo
 
Back
Top Bottom