Hello.
Naomba kwa muuzaji wa office lockers nikipata zenye milango kuanzia 6 hadi 8 itakua nzuri zaidi.
Kama unazo na unauza plz contact me bei zake na pia nitumie picha kwa PM.
Innocizy habari,
Natafuta muuzaji wa asali mbichi yenye ubora ,isiyochangaywa kabisa na kitu chochote e mail yangu ni armand.mselle@gmail.com, number ya sm +6393232864539 Philipines , kama unayo tari wasiliana na hii number kwa hapo Tanzania 0713230091 mapema , upeleke angalau 20ltr zije kuna mizigo yangu inakuja by jumamosi! nataka nione ubora wake ili tufanye makubaliano mengine , nipe namba yako ya sm nikupigie, huwa naagiza krosho na asali na vitu !mbali mbali kutoka Tz .asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.