Nauza tv na deki kwa bei nafuu

Nauza tv na deki kwa bei nafuu

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa wa jamii forums,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninauza kwa kuwa nimepatwa na matatizo kidogo bei ni 150k deki na tv,

Deki nimeinunua tarehe 22 mwezi uliopita na tv ni mtumba ila inafanya kazi vizuri ina njia za av 1in na av 2 in pamoja na av out ,inch 18, kifupi haina tatizo lolote ,

Endapo utahitaji tuwasiliane kwa namba 0752467499 ,
Napatikana Ushirombo Geita Tanzania mtaa wa majengo,
Karibuni sana wateja.
 
Mkuu humu huwa siwezi kuweka picha ila kama upo facebook nikutumie uzione.
 
Mkuu mbona dunia imehama kwenye keknolojia hiyo tumepita LCD,led,na sasa tupo kwenye smart we umeng'ang'ana tu na TV ya kibiongo kula 50000 mkuu nimuwekee Germany Shepherd wangu nae aliwazike kabla ya kuingia lindoni.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom