Rupia nauza mwenye kuzihitaji

Rupia nauza mwenye kuzihitaji

D2050

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
1,958
Reaction score
1,190
Zipo mbili hizi rupia. Moja picha yake inasimba mmoja na mtende. Ya pili inasimba wawili na mtende. Kwa wenye kuzihitaji wanione
 
Embu tuwekee picha zake mana mi binafsi sijawahi ona hizo rupia zaidi ya kuzisikia tu.
 
Nenda kwa wahindi fasta watazinunua, au Wagerman
 
Naona utapeli wa biashara ya rupia unarudi kwa kasi sasa
Mi nilidhani watu wote walishaelewa utapeli huu kumbe bado.....Huo utapeli ni matokeo ya hali ngumu ya maisha. Haya mwenye kutaka kuweka kichwa na aweke watu watafune.
 
Back
Top Bottom