Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari,wakuu!, kama unahitaji kuwa na library ya vitabu nyumbani kwako,hii ni Taarifa nzuri kwako!,ni jambo jema kwa mtu anaependa na kutambua umuhimu wa kusoma nyumbani kwake yeye na familia...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
PICHA: HOTELI MPYA TANZANIA, WATEJA HULIPA SHILINGI MILIONI 22 KWA USIKU MMOJA. BURUDANI - AUGUST 29, 2016- Hoteli hii iko katika kisiwa cha Thanda kusini mwa Tanzania. Ina vyumba 5 vya kulala...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kiwanja UJAZO 645sqm kina Hati kipo Mbweni Mpiji mahali pazuri,maji umeme upo bei,35 m ,majadiliano yapo wahi kipo KAribu na shule ya kimataifa
1 Reactions
2 Replies
827 Views
0718950680
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magauni ya kukodi ama kuvaa kwenye sherehe yanauzwa bei nafuu sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pata Ramani Bora za Nyumbani Kwa Being nafuu 150000/=fixed 0654751075. Or 0719208160 email:jirini626@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina SIMU Tecno C8 Ipo katka hali nzuri naiuza Tshs 230000 kama upo serious ni PM namba yako ntakupigia
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Wakuu naomba kujua bei ili tufanye biashara ya korosho kwa size tajwa hapo. Njoo pm ukiwa unahisika na uuzwaji wa hilo zao na specification hyo.
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Wakuu nimejichanga kidgo niweze kupata hela ya kula huku nakusanya mtaji kwa ajili ya kikubwa zaidi. Ni biashara ya kukaanga na kuuza chipsi barabarani. Kuna dogo nimempata kwa ajili ya...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumba hilo lipo Mbezi Juu si mbali toka barabara iendayo Bagamoyo. Jumba halijakamilika. Upande wa mashariki wa jengo hilo una nyumba tatu ambapo kila nyumba ina chumba cha kulala chenye choo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Chumba cha kupanga kinahitajika haraka,kiwe maeneo ya Kigamboni,gharama idizidi elf 50 pia kiwe na choo cha ndani
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wadau samahan kwa usumbufu tafadhali mwenye game ya gta V ya pc tuwasiliane nashida nayo sana sharti awe anapatikana morogoro Ahsanten
1 Reactions
6 Replies
924 Views
Ni mbegu aina ya SASSO na KUROILER,ni PM Kwa mahitaji yako ya kuku na vifaranga,jumla na rejareja.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu ninaomba mwenye taarifa za kuhusu upatikanaji wa soko la tangawiz ndani na nje ya nchi. Tumelima na zitakua tayar kuvunwa anytime kuanzia sasa lkn mpaka kufikia hapa nkiandika hii thread...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari! Naitaji shelves na vifaa vingine husika nataka kufungua min-supermarket. Kwa yeyote alie nanyo au anafahamu sehemu naweza pata
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Brandnew IPhone 5s for sale Original and Full Boxed 16GB Internal Storage Space grey......560,000 Gold colour......580,000 Call 0763342257 or whatsap +86 150-0528-4617
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarin wadau. Nauza simu aina ya samsung na LG, power bank za solar na projector..mzigo utaingia tar 24 december toka Korea. Nicheck inbox
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtu anayechapisha kalenda kwa bei Rahisi naomba ajitokeze na aweke bei zake kulingana na design ya Kalenda na ukubwa wake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari,mbao nzuri tofauti tofauti zinahitajika mwenye nazo ani inbox!, Tafadhali!
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Back
Top Bottom