Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

KIWANJA KIWANJA MAHALI;MBOPO MADALE KWA KAWAWA karibu na Mbopo secondary,km 10 kutoka Tegeta Kibaoni SIZE;700 Square metre BEI; milioni 8 MAWASILIANO;Njoo pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Lipo tegeta namanga lipo katika hali nzuri kiasi cha sh 6.5M, njoo pm ukilipenda tupatane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombenj nijue bei ya mashine popcorne ndogo ni sh ngap?? Maana huku zinauza xana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitanda na godoro 5*6 kwa 230, 000/= -stand ya camera WT3730 kwa90, 000/= Vyote vikiwa kwenye hari nzuri Vinapatikana mbezi mwisho-kimara Contact, 0755 360552 Nitaweka picha kwani network sio...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Viwanja kwa ajil ya ujnz wa makaz na shughul nyngn za kimaendeleo vinaptkana kwa ukubwa wa 20/20 Huduma muhim znapatkna kwa ukaribu 0656 698232
1 Reactions
0 Replies
887 Views
Viko Mbezi Mpiji Magoe karibu na hospital ya mpiji Magoe vyote vinafikika kwa barabara Viko vya ukubwa mbalimbali kulingana na uhitaji wa mteja. Kwa taarifa zaidi piga 0715338989
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pata samaki sato ,kwanini ununue samaki wasio na radha .pata samaki bora sio bora samaki husifate bei ndogo kula samaki roho inapenda jenga afya bora nifate in box.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
HABARI ZA MDA HUU WANA JF, NILIKUWA NAHITAJI KUKU WADOGO WENYE WIK3 MPAKA MWEZI WA KIENYEJI JOGOO1 NA MAJIKE 4. NA NTAPATA KWA BEI YA SHILLINGS NGAP MSAADA NDUGU ZANGU
1 Reactions
2 Replies
826 Views
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power) Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site. Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
HABARI ZA MAENEO ULIPO NDUGU MPENDWA TUMEANZISHA WEBSITE AMBAPO WEWE UTAWEZA KUJIFUNZA MENGI KATIKA TEKNOLOJIA NA COMPUETR.UNAWEZA KUTENBELEA TOVUTI YETU HII KWA ADRESS IFUATAYO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Naomba kwa yeyote anayejua wanapouza pooltable hapa mwanza anielekeze tafadhari. Au hata contacts zao kama naweza pata Asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niuza machine ya kufyatulia tofali ya inchi 6 manual bei ni maelewano ipo lindi mjini.
0 Reactions
0 Replies
456 Views
TUNABADILI MAWAZO YAKO KUWA SOFTWARE. Nyumbani creative ni kampuni yenye team iliyojitosheleza katika kupokea mawazo yako ya mfumo taarifa (data system) wa kazi zako na kuziweka katika mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kutana na wauzaji waliobobea katika soko la vitabu Tanzania, tunauza softcopy za vitabu aina zote kama marketing, insurance, accounts, logistics and procurements, medicine, phamarcy...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Njoo nikuuzie moka kaali za ofisini na bila kusahau raba Kali za kuvalia sehemu yoyote ile kama kwenye sherehe, club, gym, na n.k
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Kiwanja kipo mbweni mpiji kina hati 645,sq m maji na umeme vipo hakuna dalali unahitaji kipo karibu na shule ya kimataifa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
VIWANJA VINAUZWA.VIWANJA VINAUZWA. VIWANJA VINAUZWA VIPO VIWILI KWA PAMOJA,KILA KIMOJA KINA UKUBWA WA MITA 16 KWA MITA 16. KIPO MAENEO YA CHANIKA SHULE MPYA YA KABAKARI. KILA KIMOJA KINAUZWA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kuna plot zipo sokoni,maeneo ya kwa mromboo Arusha. Mwenye navyo ana dharura. Urefu ni 11 kwa 10 tshs 2m,vipo viwili. Ama unaweza chukua vyote viwili (11 kwa 20) kwa 4m.
0 Reactions
3 Replies
690 Views
Back
Top Bottom