Msaada: soko la tangawizi

Msaada: soko la tangawizi

Kisebengo Kibobori

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2016
Posts
295
Reaction score
544
Wakuu ninaomba mwenye taarifa za kuhusu upatikanaji wa soko la tangawiz ndani na nje ya nchi.
Tumelima na zitakua tayar kuvunwa anytime kuanzia sasa lkn mpaka kufikia hapa nkiandika hii thread soko la uhakika bado halijapatikana nawaombeni saana kwa yeyote mwenye taarifa za upatikanaj wa soko la hii bidhaa naomba msaada.
 
Tatizo unalima kuja kupata soko ndio mziki. Kila mfanyabiashara ukimgusa utasikia hazina soko hapo ndio mtihani. Ila wewe komaa
 
Back
Top Bottom