Nahitaji used shelves za supermarket

Nahitaji used shelves za supermarket

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wakuu habari! Naitaji shelves na vifaa vingine husika nataka kufungua min-supermarket.
Kwa yeyote alie nanyo au anafahamu sehemu naweza pata
 
Kwa nini usichukue carpenter akakufanyia kwa design unayotaka kiongozi...?
 
Mkuu mm sina shelves ila kama unataka kufungua min supermarket ninaweza kukuuzia software itakayokusaidia kufanya mauzo na kuweza ku control bidhaa zote dukani....nitaiweka na barcode hivyo itaweza kuscan bidhaa zote.
 
ninaitaka unaiuza shilingi ngapi?
 
Mimi ninazo,nilinunua kwa ajili ya supermarket then nikabadilisha mawazo, ni PM
 
Wakuu habari! Naitaji shelves na vifaa vingine husika nataka kufungua min-supermarket.
Kwa yeyote alie nanyo au anafahamu sehemu naweza pata
Mimi sina hivyo vifaa ila naomba uniajir ukishafungua hiyo minsupermarket..
 
Back
Top Bottom