Lipa kidogokidogo kwa [emoji819]instalment
Pafanye kwako pawe na muonekano flani hv amazing na mdogomdogo payment ya amazinglifestyle
Tv,fridge,washingmachine, Musicsystem,jiko, nk
Chochote...
New htc one
Ina crack kidogo sehemu ya chini pempezoni mwa kioo ambayo inaweza ikaapuziwa maana haiathiri chochoteni 16gb
Nipigie 0788622610 .
Maassalam
Tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017, mkwajuni sekondari
Shule ya sekondari mkwajuni, inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017 kama ifuatavyo;
1. Kidato cha kwanza
2...
Natafuta nyumba ya haraka Tanga mjini iwe ya vyumba viwili au vitatu master, nmehamishiwa kikazi huko kama kuna dalali mzoefu kwa humu naomba anitafute kwa direct text humu au atume mawasiliano...
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu za lita 20 kuanzia tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu...
Ukiongelea mwanamke wa nguvu huwezi kuacha kumtaja shishi,unaanzaje labda kwa mfano kutomtaja....
Aja kivingine,kwa mikono yake miwili mtoto wa Igunga anakupikia chakula asilia kisicho na...
Rejea kichwa cha habar hapo juu nahitaji wale jamaa ambao huwa wanachekesha barabaran au kwenye mabar kwa kujichora usoni na matumbo makubwa wenye no plz an pm na function J4.
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleleo vnapatka huduma nyngn znaptkana kwa ukaribu..lipia 70% thn nyngne 30% unaruhusiwa kulipia ndn ya wik 6-8
0656 698232
Habari za jioni wana JF.
Naomba mwenye kuelewa wapi naweza kupata used Electrical Wheelchair, maana mpya nimeangalia bei zake ni ghali sana. Naomba msaada wenu tafadhalini.
Anatafutwa mtaalamu mganga wa kufanya Dua mwenye uwezo wa kumfanya mtu mwizi arudishe mali aliyoiba iwe kwa DUA au kwa njia nyingine yeyote ile.
Offer 1,000,000/= niPM!
Changamkia fursa ewe mjasiliamali ongezea vyanzo vya mapato gengenn/dukani/mgahawani kwako kwa Huduma ya m_Pesa lain inapatikana Mbalizi mbeya kwa tsh 180000 usiogope maongezi ni bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.