Chumba cha haraka kinahitajika

Chumba cha haraka kinahitajika

Nathd

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
290
Reaction score
210
Chumba cha kupanga kinahitajika haraka,kiwe maeneo ya Kigamboni,gharama idizidi elf 50 pia kiwe na choo cha ndani
 
Tandlka kipo kwa gharama hiyo.Umeme na maji ndani.Huduma muhimu kama stendi za daladala(ie devis kona au sokoni tandika) pana mwendo wa kutembea chini ya dakika 10,kadhalika huduma za afya,soko,polisi na shule zote zinapatikana katika eneo hilo.
 
Huduma za Panya road pia zinapatikana hapo hapo
 
Kwa nini?
kigamboni labda ambapo maeneo siyajui
maana unataka self kwa hela ndogo sana..
ata wanafunzi wa cbe na ifm huku kigamboni wanatoa kuanzia 100-200 p.m kwa chumba self mkuu
 
Njoo River side Ila madalali mpaka niwatafute niwaulize KARIBU mkuu
 
kigamboni labda ambapo maeneo siyajui
maana unataka self kwa hela ndogo sana..
ata wanafunzi wa cbe na ifm huku kigamboni wanatoa kuanzia 100-200 p.m kwa chumba self mkuu

Hii labda kigamboni ya pale feri
 
...we endelea kulala stendi na kunya porini tu mpaka utakapo pata hela!
 
Jamani msaidieni mwenzenu. Labda yeye hiyo ndo bajeti yake. Msimzodoe. Nakumbuka nilipotoka mlimani 2004 nilipata room (choo na jiko nje) pale Knyama kwa 30. Ila sasa naamini itakuwa imepanda sana.
 
Ongeza hela kidogo utapata angalau 80 maana kigamboni vyumba ghari sababu ya wanafunzi wengi wanafanya hostel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom