Nauza senene kwa wanaotaka kununua


Jick

Jick

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
382
Likes
273
Points
80
Jick

Jick

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
382 273 80
Kwa mikoa ya Mwanza, Geita, pia Kahama, Nzega n.k

Kama unataka senene wailokaangwa kwa jumla ni PM
Nauza kuanzia nusu ndoo (lita10), ndoo nzima (Lita 20) na kuendelea

Bei nusu ndoo ni Tsh 90,000/=
Bei ndoo kubwa. Tsh 170,000/=

Karibuni sana PM.
 
essaugervas

essaugervas

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
601
Likes
262
Points
60
Age
30
essaugervas

essaugervas

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2016
601 262 60
aiiise kumbe hao wadudu wanabei kiasi hicho
 

Forum statistics

Threads 1,273,285
Members 490,351
Posts 30,476,661