TanfoamGodoro ni kampuni ganiiiiiiiiii
Hapana hivi vipo muda mrefu havitumikih😀Maybe my mind is just evil. Bed+ Camera. Mkuu ulikuwa na location kwa room?
Njoo pm tuongee.Vyote, huli kwa laki mbili mkuu!?
(Kitanda+godoro)
Godoro umelitumia kwa muda gani? Wewe binafsi una uzito kilo ngapi?View attachment 445781 Kitanda na godoro 5*6 kwa 230, 000/=
-stand ya camera WT3730 kwa90, 000/=
Vyote vikiwa kwenye hari nzuri
Vinapatikana mbezi mwisho-kimara
Contact, 0755 360552
Nitaweka picha kwani network sio nzuri kwa sasa.
Hahaaaaa. Okay samahani kama nimekukwaza.Hapana hivi vipo muda mrefu havitumikih😀
Haaaaaaa. Lol. Ndo vigezo vya kutafuta kupunguziwa bei au?Go
Godoro umelitumia kwa muda gani? Wewe binafsi una uzito kilo ngapi?
Hahahaha... uzito wa mtu unahusika sana katika masuala ya afya ya GodoroHaaaaaaa. Lol. Ndo vigezo vya kutafuta kupunguziwa bei au?
Hahaaaa. Ila labda ungeuliza na mwenza wake ana uzito gani.Hahahaha... uzito wa mtu unahusika sana katika masuala ya afya ya Godoro
Nchi ngapi kaka maliza vyote na siiii nusu nusuuuTanfoam