Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017, mkwajuni sekondari Shule ya sekondari mkwajuni, inatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017 kama ifuatavyo; 1. Kidato cha kwanza 2...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau,natafuta shamba kasulu kwa mwenye nalo tuwasiliane,likiwa karibu na chanzo cha maji ni vizuri zaidi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama uko na Laptop yako imekufa, naomba uniuzie screen yake kama spea. Ofa yangu ni Tsh 30,000/- Njoo PM.
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Nauza kiwanja changu kipo Gezaulole - Kigamboni, kimepimwa kinaukubwa wa sqm 450 bei ni 9m maongezi yapo
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Line of weakness
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya haraka Tanga mjini iwe ya vyumba viwili au vitatu master, nmehamishiwa kikazi huko kama kuna dalali mzoefu kwa humu naomba anitafute kwa direct text humu au atume mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu za lita 20 kuanzia tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye kutaka chumba maeneo ya mombasa na moshi bar pia magomen kagera,na mwembe chai ni pm upate chumba safi kabisa kwa bei rahisi
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Mwenye note 5 safii 32gb aje nimpe note 4 safii 32gb na top up juu.....iwe Arusha PM kwa mawasiliano zaidi..
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Ukiongelea mwanamke wa nguvu huwezi kuacha kumtaja shishi,unaanzaje labda kwa mfano kutomtaja.... Aja kivingine,kwa mikono yake miwili mtoto wa Igunga anakupikia chakula asilia kisicho na...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Rejea kichwa cha habar hapo juu nahitaji wale jamaa ambao huwa wanachekesha barabaran au kwenye mabar kwa kujichora usoni na matumbo makubwa wenye no plz an pm na function J4.
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleleo vnapatka huduma nyngn znaptkana kwa ukaribu..lipia 70% thn nyngne 30% unaruhusiwa kulipia ndn ya wik 6-8 0656 698232
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Habari za jioni wana JF. Naomba mwenye kuelewa wapi naweza kupata used Electrical Wheelchair, maana mpya nimeangalia bei zake ni ghali sana. Naomba msaada wenu tafadhalini.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nymba ipo vzur Master 1 Single 2 Sitting room, Public toilet 1 0656 698232
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Anatafutwa mtaalamu mganga wa kufanya Dua mwenye uwezo wa kumfanya mtu mwizi arudishe mali aliyoiba iwe kwa DUA au kwa njia nyingine yeyote ile. Offer 1,000,000/= niPM!
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Changamkia fursa ewe mjasiliamali ongezea vyanzo vya mapato gengenn/dukani/mgahawani kwako kwa Huduma ya m_Pesa lain inapatikana Mbalizi mbeya kwa tsh 180000 usiogope maongezi ni bure
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Core i5 2.4 GHZ processor HDD 500 GB RAM 3 GB Iko katika hali nzuri kabisa. Mawasiliano 0625 415152
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PUREWELL(water filter) ni kifaa kizuri sana kwa ajili ya kusafishia maji na kufanya yawe safi na salama. Kifaa hiki pia kinatibu SI kusafisha tu minyoo ya aina zote. #kichocho #safura #Typhoid...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SITTA TECHNOLOGY, tunasuka inverter zenye ubora kuanzia 50W-5000W tunatoa na waranti ya miaka 3,inatumia umeme kdogo sn kuanzia 6v inatoa 220v, ni ngumu sana kuungua ikitokea short zaid ya kukata...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom