Plot Zauzwa

Plot Zauzwa

aingimac

New Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
4
Reaction score
1
Wakuu kuna plot zipo sokoni,maeneo ya kwa mromboo Arusha. Mwenye navyo ana dharura. Urefu ni 11 kwa 10 tshs 2m,vipo viwili. Ama unaweza chukua vyote viwili (11 kwa 20) kwa 4m.
 
IMG_1481703668.699880.jpg


Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,


Bei: 4.5M.

Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.

Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora.
Kiwanja #29 & #30 Bado vinapatikana. Unajenga na kuhamia Leo leo bila kusubiria Umeme na Maji.
 
Back
Top Bottom