bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
Pata samaki sato ,kwanini ununue samaki wasio na radha .pata samaki bora sio bora samaki husifate bei ndogo kula samaki roho inapenda jenga afya bora nifate in box.
Hawa ni wale wa Ziwani au wale wa ARV? Weka Bei mahali ulipo na utaratibu wa kumfikishia mtejaNauza rejareja mpendwa
10000 kiloMkuu...Retail & whole sale unauzaje?
Tiptop polisi post ukifika hapo umepata mpendwa.Wanapatikana wapi?
10000 kilo