NAUZA MPUNGA - TABORA

NAUZA MPUNGA - TABORA

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Habari za asubuhi wadau?
Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga.
Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100)
Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs
Mpunga upo Ndala (Tabora)

0763718328
 
Ungesubiri subiri kidogo njaa ikaze uje uuze gunia kwa 100000
 
Ngoja nikutaftie mteja. Ila kwa gunia kwa sasa wanachukua kwa 54
 
Habari za asubuhi wadau?
Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga.
Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100)
Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs
Mpunga upo Ndala (Tabora)

0763718328
Bro kwani kule Ndala, Mwisi, Ziba, Nzega na igunga hakuna wateja? Tembelea kwenye mashine za kukoboa, ni lazima utawapata badala ya kukimbilia huku.
 
Back
Top Bottom