Kiwanja cha bei nafuu kigambon

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
Nauza viwanja viwli vyenye ukubwa wa 23*22 maeneo ya dege kigambon. Mita 50 kutoka barabara kuu yenye lami. Huduma za kijamii zipo zikiwemo umeme pia. Kwa kua vina ukubwa sawa bei pia znafanana kwa kila kimoja milion 6. Karibu sana 0713806766.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom