specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
King'asti sio saa tatu bana,kiufupi hataki watu wanaorudi usiku kutoka kwenye mambo kama pombe alafu wanarudi na vurugu kugonga geti kama vita vile,kupiga piga kelele....lakini kama unarudi usiku mara chache chache na huna vurugu mlango/geti linafunguliwa na ndugu yako/mke wako bila usumbufu kwa mwenye nyumba.Hiyo ya kurudi usiku saana inabidi uweke muda. Manake hukawii kukuta Mwenye nyumba kwake usiku saana ni saa tatu. Wengine ni makorokoroni, au ni hostel hiyo?
Karibu mkuuNyumba ni nzuri sana
King'asti sio saa tatu bana,kiufupi hataki watu wanaorudi usiku kutoka kwenye mambo kama pombe alafu wanarudi na vurugu kugonga geti kama vita vile,kupiga piga kelele....lakini kama unarudi usiku mara chache chache na huna vurugu mlango/geti linafunguliwa na ndugu yako/mke wako bila usumbufu kwa mwenye nyumba.
Ustaarabu tu ndio anao taka.
Hapana nduguNadhani kwa asiye na mke hapo kulala nje itakuwa rahisi.
asiwe mtu wa kurudi usiku saaana kila mara
° Kutoka ilipo nyumba mpaka kituo cha mwendo kasi ni kwa bajaji moja tu na bajaji zinapatikana muda wote hadi usiku saa 6 nauli ni Tsh 500
° Usalama niwauhakika..Karibu sana ndugu zangu.
Ndio,vimeisha tayari.Mkuu ulishamaliza kuuza Vitu vyako vya ndani?
Mbona husemi me nmekomaa kukupm tu tuNdio,vimeisha tayari.