njoo mezani tuyajenge au unabip ?Mimi nina 2 mil. mkuu
kweli kaka sikuwa hewani karibu piga nilikuwa safarininimekupigia simu haipatikani
Tangazo kama hilo nikaingia kichwa kichwa, nikaambiwa nitoe down payment laki 7 kwa mtu anaeitwa Adam mpaka leo ni zaidi ya mwaka na nusu. Jihadharini wa jamii forum Adam ni tapeli wa hali ya juu, anaongea kama cherehani, anaishi Arusha nilikuwa kufahamu baadae, anajitambulisha kama Adam Mahende ila simu zake amesajili maji a tofauti tofauti.Container tupu mbili zinauzwa 20 na 40 ft
0656582568
Nauza container la ulefu wa futi 20 . lipo katika hari nzuri sana na bado halijakatwa . document zote halali zipo . container lipo hapa Dar . bei Tsh 3.5m tuwasiliane kwa muhitaji 0657 14 55 55.
pole kwa kutapeliwa mkuu sasa ulitumaje hera bila kuliona container na wala kukagua documents? biashara ya container inahitaji uangalifu sana kwani unaweza uziwa la wizi naukaingia kwenye matatizo makubwa. container zipo na zinapatikana usinunua ambalo halina documents wengi wameumia .Tangazo kama hilo nikaingia kichwa kichwa, nikaambiwa nitoe down payment laki 7 kwa mtu anaeitwa Adam mpaka leo ni zaidi ya mwaka na nusu. Jihadharini wa jamii forum Adam ni tapeli wa hali ya juu, anaongea kama cherehani, anaishi Arusha nilikuwa kufahamu baadae, anajitambulisha kama Adam Mahende ila simu zake amesajili maji a tofauti tofauti.
Asante. Nadhani kwa kutojua akatumia ignorance yangu. Aliniahidi kuwa akileta ndio nimmalizie pesa na hapo ndio niloposubiri akiniahidi bila kutimiza. Kwa vile Mpesa ni nayo record ya kutumiwa nikajiridhisha hawezi kunitapeli.pole kwa kutapeliwa mkuu sasa ulitumaje hera bila kuliona container na wala kukagua documents? biashara ya container inahitaji uangalifu sana kwani unaweza uziwa la wizi naukaingia kwenye matatizo makubwa. container zipo na zinapatikana usinunua ambalo halina documents wengi wameumia .