Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

-Apple MacBook AIR -- Laptop SPECS -Intel core i 5 - 2467m CPU @ 1.6 GHz -4GB RAM -120 GB SSD Hard Drive Haina michubuko yoyote, popote, sawa na mpya. Haijatumika. BEI Tsh. 900,000 CONTACT...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
.
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Tunatoa huduma za hosting, tunauza domain na pia tunatengeneza Web Application, Android Application kwa gharama nafuu sana, Tutembelee kwenye site yetu [emoji117]www.yatosha.com CONTACT US...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ni apartment yenye vyumba viwili ikiwemo master bedroom! Jiko, sebule kubwa, family toilet na nafasi kubwa ya kupaki Gari ndani ya fence! Nyumba inapatikana Makongo juu Kwa kodi ya 450k kwa mwezi...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Habari kwenu wajasiliamali. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Natafuta mabembea aina tatu kama ifuatavyo.....1. Bembea la kuninginia watoto watatu hadi watano kwa wakati. 2. La kuzunguka la...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hapa kwenye hii ofisi nina mwaka mmoja tu, nilivyoajiriwa hapa niliwakuta wenzangu wengi wakiwa wanafanya kazi na wanaendelea na masomo, wengi walikuwa wanasoma diploma na degree. Mimi nilikuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please!
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Nina note3 neo nataka note4 nzuri(black) naongeza 50000
0 Reactions
2 Replies
632 Views
Kiwanja kinauzwa kipo kijichi kinaangalia mkondo wa bahari na kina 2000sqm na kina leseni ya makazi ( residential licence ) bei 40milion maongezi yapo....pm tufanye biashara
1 Reactions
4 Replies
865 Views
Wakuu nina milioni tano nataka gari mpya inayo endani na hela yangu ...kuna uwezekano wa kuipata wakuu. ...kwa hio hela..? Msaada na ushauri PIA napokea wakuu...[emoji120]
2 Reactions
12 Replies
2K Views
mwenye nayo sms 0715140001
0 Reactions
4 Replies
1K Views
we provide training in CISCO course such as Cisco Certified Network Associate(CCNA) & Cisco certified Network Professional (CCNP). We have a quality & effective CISCO laboratory which cover all...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Natafuta Gari aina ya Noa namba C ofa Tsh 8500000 isiwe ya fowili call 0715 877933
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza viwanja vilivyopo dsm kongowe mwandege nyuma ya kuwanda cha bakhresa,CHATEMBO. Ukubwa ft 50×50, na 50×40. Bei ni mil.2 na nusu hadi mil.1 na nusu ( 2500000-1500000) Maelezo n.k 0714775566...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu heshima zenu. Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo -Vyumba vitatu, kimoja master -Dinning, sitting room -Jiko na choo cha jumuia -Choo cha nje -Ina sifa zingine, isipokuwa umeme...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hai wana jamvi naomba msaada kwa mtu yyte mtaalam wa kuandika research proposal maji yamenifika shingon msaada pliz kwa wajuzi tutaongea ki utu uzima on dat project
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habar wadau kuna hawa jamaa wanajiita RM computer, wanauza computer za jumla, naomba kujua kama kuna anae wafahamu na wako wapi, nimeona stika kwenye computer ila haina mawasaliano.
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Natafuta till ya airtel money iwe Moshi au Arusha iwe mpya au used active mwenye nayo anitumie SMS au Watsap 0757620622 (please usipige au unaweza nitumia text nikakupigia mwenyewe) Bei/ dau ...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Pata viatu vya ngozi kwa jumla na rejareja. Popote mzingo unakufikia bure bila garama ya usafiri.
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…