House4Rent Nyumba zinapangishwa!

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Ni apartment yenye vyumba viwili ikiwemo master bedroom! Jiko, sebule kubwa, family toilet na nafasi kubwa ya kupaki Gari ndani ya fence! Nyumba inapatikana Makongo juu Kwa kodi ya 450k kwa mwezi, kodi inayotakiwa ni ya miezi sita!
More contacts: 0717569086!
 

Attachments

  • 1483781650075.jpg
    1483781650075.jpg
    72.4 KB · Views: 61
  • 1483781663140.jpg
    1483781663140.jpg
    70.5 KB · Views: 64
Na hii pia inapangishwa, ina vyumba vitatu ikiwemo master bedroom, jiko, choo nje na ndani, ipo ndani ya fence inajitegemea yenyewe, maji yapo 24hrs!
Kodi yake ni 400k kwa mwezi, hivyo kodi inayohitajika ni kodi ya miezi sita! Nyumba hiyo pia ipo Makongo juu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom