talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 759
Habari kwenu wajasiliamali. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Natafuta mabembea aina tatu kama ifuatavyo.....1. Bembea la kuninginia watoto watatu hadi watano kwa wakati. 2. La kuzunguka la viti vinne. 3. La kutereza
Mabembea haya yawe ya viti vya plastic na yasiwe ya kuchomelea.
Ahsanteni