Umuhimu wa kupima udongo kabla ya kuanza kilimo

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
233
413
Kwa nini udongo?

Kama ilivyo kwa binadamu na wanyama pale unapokula chakula chenye virutubisho bora na vivyo hivyo mwili wako unvyozid kunawiri vizuri, je? Ili mimea ikue vzr inahitaj nini? Jibu liko wazi kuwa kilichopo kwenye udongo ndio sabab tosha ya kuufanya mmea uote vzr na uweze kutoa mazao/matunda yenye ubora na afya nzr pamoja vitu vingine kama maji na mwanga

Sasa basi *Green agriculture* tunatoa huduma bora ya kupima udongo na kukupa ushaur juu ya utunzaji Wa mimea na utumiaji Wa mbolea ili uweze kupata mazao bora
*Gharama zetu ni nafuu*
Per acre ni laki moja,
Offer kwa project inayozid hekar tano ni elfu themanini

Tembelea website Yetu
www.greenagricultureskills.com
Pia wasiliana nasi kwa number zifuatazo
*Engineer Lasway* 0763347985/0673000103
*Agronomist Boniface* 0719880905/0756800419

Picha ya chini inaonyesha parameters tunazopima
b163a99a576ed75f68d7e767127a7526.jpg
 
Je, utaalamu wenu wa kisayansi hauwezi kutafsiriwa/kubadilishwa kwa kutumia utaalamu wa mila na desturi? Yaani kwa mfano hiyo ph level ya udongo haina njia mbadala ya kupima?Watu tupo huku kijijini mbaali na miji yenye vipimo vy sayansi.
Hebu fanyeni maarifa bana mgundue njia tofauti ya kupima udongo ambayo ni friendly kwa mkulima wa kijijini kama mimi. Hii mambo ya 'uko wapi tuje tukupimie udongo' au 'pima udongo kwa kutumia kifaa toka marekani......' iwe mwisho wandugu. Please invent a local based way of determining soil ph etc etc.Nina uhakika hili litawezekana hapo SUA maana vipo vichwa vikali sana.Mbona SUA waliweza kuibua panya wa kugundua mabomu ardhini na kuachana na electronic gadget ya kudetect mabomu?Hili la soil ph litawasumbuaje?
 
acheni kukaa mjini ondokeni humo muende vijijini. mkapime udongo wa wakulima. pia PH kiti inapatikana wapi nataka kuinunua
 
Back
Top Bottom