Msaada wa kupata DRY ICE

Msaada wa kupata DRY ICE

julisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
209
Reaction score
50
Habari wa JF,

Nilikua naulizia wapi naweza kupata 'dry ice' kama kuna member anafahamu naomba anielekeze au anipatie contact za wahusika.

Natanguliza shukrani
 
Hiyo ni barafu ilioktk state ya ungaunga ambayo ikiyeyuka haitoi maji bali inaevaporate..ni nzuri kutransport biological samples..
 
Aisee bora umefafanue,maana mie nilitaka kusema aisee hii Barafu kavu inakuwaje.
Vizuri na sie tumejua
 
ni solid carbon dioxied (CO2) kama unataka ya chap chap basi pulizia contents za fire extinguisher ndani ya kimfuko kigumu (mfuko usiwe wa karatasi, pia hakikisha umevaa goggles na gloves for protection) then voilaaa dry ice. Ila kama unataka nyingi nasikia kuna kampuni inaitwa 'The Canadian Dry Ice Company Ltd' hapo lindi street dsm.
 
Back
Top Bottom