Vitu vya ndani vinauzwa

Boniphace Bembele Ng'wita

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
3,464
1,859
Sofa.....200,000/=
TV ndogo(tumbo)80000
Mihani gasi na jiko 250000
Pm ntatoa namba,
Npo dar...
 
Attachments

  • TMPDOODLE1484218342503.jpg
    TMPDOODLE1484218342503.jpg
    49.9 KB · Views: 82
  • TMPDOODLE1484218390799.jpg
    TMPDOODLE1484218390799.jpg
    45.8 KB · Views: 80
  • TMPDOODLE1484218579817.jpg
    TMPDOODLE1484218579817.jpg
    34 KB · Views: 85
  • TMPDOODLE1484218615824.jpg
    TMPDOODLE1484218615824.jpg
    40.2 KB · Views: 98
  • TMPDOODLE1484218663615.jpg
    TMPDOODLE1484218663615.jpg
    22.5 KB · Views: 79
Hizo bei zako ni za dukani wakati vitu ni used.Mfano kochi hilo ni laki2 unapata,tv inaanza 100000 mpaka 90000 unapata mpya kabisa na ukijua kuongea zaid unakula.Hapo ndugu utawachukia watu tu maana watakua wanakukebei na kukusanifu kwa ulichokiweka humu.Kawaida watu huweka vitu used nusu ya bei ya Dukan au inayokaribia kushuka nusu.Sasa wewe mtu anunue hyo tv used kwa80000 kisha asafirishe kwa 10000.wakat yapo ya namna.hyo 50000 kushuka chin
 
Mkuu hzo kochi ni zote mbili na tv ni ya tumbo plus gasi, sion kama kunashida, hata hivyo ninaweza kupunguza kwa wahitaji....
 
Mie nlivosoma title nkajua papuchi na kiulimi... Maisha magumu mpka mawazo yanahama.
 
Yani ww una shida halafu unajifanya unaza ghali ,shusha bei haraka xn mimi sina 'maneno matamu matamu'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom