Nauza redio, call 0755661541

Nauza redio, call 0755661541

Pendo123

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
76
Reaction score
7
1473238956977.jpg
 
Hii sub ni hatari inapga mzk nliwahi kuwa nayo nlnunua kkoo 2k. sjui jamaa anauzaje, ningeinunua bt mi natumia solar na sna inverter. TATZO BOX NDO KMEO LINAACHIA, HASA UKIWA UNAPGA MZK MKUBWA LNAZDIWA UWEZO NA SPKA.
 
Mkubwa..huo sio mziki ni makelele. Haya maboksi huwa yanatoa kelele tu na si mziki wenye ubora.
 
Hii sub ni hatari inapga mzk nliwahi kuwa nayo nlnunua kkoo 2k. sjui jamaa anauzaje, ningeinunua bt mi natumia solar na sna inverter. TATZO BOX NDO KMEO LINAACHIA, HASA UKIWA UNAPGA MZK MKUBWA LNAZDIWA UWEZO NA SPKA.
Wewe ulinunua mpya laki mbili mwenzako ya zaman (iliyotumika) anauza laki mbili na sabini
 
Mziki mzuri ni wa home theater na Radio za dek masub woofer yote vimeo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom