Podoa in Tanga city kipo maeneo ya duga kama unaenda panganiNdugu wenzangu.
Natafuta kiwanda ambacho wataweza kunitengenezea mafuta asili ya mwilini.
Dar au sehemu yoyote iliyoko karibu na Dar.
Majibu naomba mni inbox.
Waweza kuandika kwa English au Swahili.
Asante.
//Lydia.