Gari aina ya Suzuki ignis namba C inauzwa bei ya kutupwa

Erasme

Member
Oct 15, 2016
63
21
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, na inavyoonekana kwenye picha hapa chini
IMG-20170105-WA0025.jpg
IMG-20170105-WA0027.jpg
IMG-20170105-WA0024.jpg
IMG-20170105-WA0028.jpg
IMG-20170105-WA0022.jpg
IMG-20170105-WA0023.jpg
gari aina ya Suzuki Ignis inauzwa bei ya kutupwa.
Gari ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote inatembea
Gari ipo Dar maeneo ya Banana
Bei ni million 4 haipungui
Kwa wanaohitaji wanicheki kupitia hii namba
0716 716 279
 
Atakayenunua hiyo gori labda awe anaendeshea chumbani au sebuleni kwake. Akijidanganya siku moja apige route ndefu atakuja amejitwisha kichwani kwake. Nimemaliza. Husiniulize nimeona wapi au sosi ni nini?
Unatoa tuhuma za namna hii kwenye biashara ya watu halafu unasema usiulizwe!!? Kuulizwa lazima, embu tuthibitishie kwanini hii gari haiwezi route ndefu?
 
Unatoa tuhuma za namna hii kwenye biashara ya watu halafu unasema usiulizwe!!? Kuulizwa lazima, embu tuthibitishie kwanini hii gari haiwezi route ndefu?
Nenda kainunue mkuu. Mi nshamaliza kueleza ninachokijua.
 
Nakumbuka hiki kigari nilipishana nayo mitaa ya tazara nilijua kanatumia makaa ya nawe kujiendesha labda iwe nimefananisha.
Mkuu mi nimesema ninachokijua, wakasema nawavirugia biashara.
Ngoja niwaache wafanye "biashara" na mfanywa biashara.
 
Back
Top Bottom