Kiwanja kinauzwa kinzudi,usukumani Goba bei 13milion

sura mbaya

Member
Mar 5, 2013
80
5
Kiwnja kinauzwa ukubwa ni 20×20 milion 13. Kipo sehemu nzuri Goba kinzudi,usukumani. Hakina dalali karbuni sana 0712-405818
1483866000381.jpg
 
Na mwaka huu kwa hii hali wengi tu watauza viwanja..ngoja nisubiri bei itapungua
 
Kwa Experience yangu ya Geography Map Reading inaonekana pasipo shaka hapo panajaa maji na Pia ni njia ya maji.

Mkuu usiharibu biashara ya mwenzako. Nenda kakiangalie..then ulete mrejesho hapa. Vinginevyo unafanya siyo.
 
Mkuu hapa ni JF ambapo watu wanaongea Ukweli ,Kusema Ukweli sio kuharibu bizness ya mtu,kwahiyo wewe upo radhi kuficha Ukweli ili mtu aje kuumizwa? Nashauri mtu atakayenunua asubiri kipindi cha mvua masika....Map Reading Haiongopi.
 
Dah! Tatizo kidogo. Kama kipo cha 50 * 50 nijuze. Mimi ni mtu wa ardhi hivyo hata kama hakina hati sio tatizo, nitamaliza kila kitu mwenyewe.
 
Mkuu hapa ni JF ambapo watu wanaongea Ukweli ,Kusema Ukweli sio kuharibu bizness ya mtu,kwahiyo wewe upo radhi kuficha Ukweli ili mtu aje kuumizwa? Nashauri mtu atakayenunua asubiri kipindi cha mvua masika....Map Reading Haiongopi.
Huwezi kuhisi jambo kisha hisia zako ukazibadili kuwa ukweli.
Ni kweli hapa JF watu wanaongea ukweli lakini uwe ni ukweli uliothibitika, siyo ukweli wa kumwambia mtu una uzoefu wa kusoma ramani za kijiografia, mara usomaji ramani hauongopi wakati kinacho onekana hapo ni picha halisi ya kitu (kiwanja) na siyo ramani. Ukweli wa hivyo hapa haukubaliki….geographically, the word 'terrain' was useful better than 'map' to describe the shape of that piece of land OR you would say 'characteristics of features from the photo (not map) show that…'
 
Haindoi Ukweli kama hapo maji yanajaa,Kama Kubet ningekwambia weka kipande cha tofali mie naweka laki 5.
 
Mm npo tayari kubet na ww twende nikakuonyeshe na hyo lak5 yako nitakulipa mm na ww utanilipa jiwe. 0712-405818. Nipigie tuongozane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom