Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Wakuu,
Natafuta mtu mwenye Car wash Dar es salaam anikodishie niwe naiopatrate namlipa kwa mwezi au miezi kama tutakavyokubaliana. Napenda sana kazi ya kuosha gari ila sijapata sehemu nzuri kwa kweli.
Asanteni.