MWENYE KAROTI NA HOHO NZURI NA ZENYE UBORA ANITAFUTE

KAPURO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
235
152
[1/21, 11:21] Lazaro Kapinga: Nahitaji karoti mwenye nayo anitafute au kama unamfahamu MTU anayelima anitafute. Sihitaji dalali bali kutoka kwa Mkulima. Mzigo unahitajika kila siku ni biashara ya uhakika Nipigie kwa number 0753359245
[1/21, 11:22] Lazaro Kapinga: Pia nahitaji hoho za kutoka Morogoro au Iringa mwenye nazo anitafute au kama unamfahamu MTU anayelima anitafute. Sihitaji dalali bali kutoka kwa Mkulima. Mzigo unahitajika kila siku ni biashara ya uhakika Nipigie kwa number 0753359245
 
mm nazitoa shamba mwez ujao,,ww upo mkoa gani mm nipo mbeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom