Tunauza Batiki 12,000/=

Kafiti

Verified Member
Mar 27, 2011
542
250
Mamy Batiki Suppliers
Ni watengenezaji na wasambazaji wa batiki nzuri isiyokakamaa wala kuchuja, kitambaa Chake ni kizuri na chenye ubora zaidi.
Inapatikana kwa ukubwa wa piece Moja na nusu kwa tzs 12000 kwa pair moja.
Kwa jumla kuanzia piece 5 ni tzs 10000 kwa pair.
Mawasiliano
0712128301
E-mail: mariammsuyah@gmail.com
Dar es Salaam, Mikoani unatumiwa.
batiki6.jpeg batiki1.jpeg batiki3.jpeg batiki4.jpeg
 

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
52,969
2,000
Sijaelewa inamaana hizo piece zikiwa mbili ndo zinauzwa 12000 au?
 

Kafiti

Verified Member
Mar 27, 2011
542
250
Sijaelewa inamaana hizo piece zikiwa mbili ndo zinauzwa 12000 au?
Ni piece moja na nusu kwa 12000 kwa rejareja.

Piece moja na nusu ni ndiyo pair. Kwa hiyo ukinunua pair 5 utauziwa kwa elfu 10 kila moja bei ya jumla.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom