Viwanja vinauzwa

darts

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
257
176
Viwanja viwili vinauzwa maeneo DSM Majohe Pugu Secondary kwa Chini. Eneo moja Ukubwa ni 28 kwa 25 Bei ni mil 18 MAONGEZI yapo. Na eneo lingine Ni 73× 42 mil 60 MAONGEZI yapo ili kubwa pia tunakata kuanzia 20×20 bei mil 15. Karibuni Maeneo ni Mazuri yapo Barabarani.
 
Yaani 20*20 tena Majohe unauza 15M!!! Acheni wizi bana. Vipimo vyenyewe vya miguu. Fanya 6M watu wakutafute.
 
Viwanja viwili vinauzwa maeneo DSM Majohe Pugu Secondary kwa Chini. Eneo moja Ukubwa ni 28 kwa 25 Bei ni mil 18 MAONGEZI yapo. Na eneo lingine Ni 73× 42 mil 60 MAONGEZI yapo ili kubwa pia tunakata kuanzia 20×20 bei mil 15. Karibuni Maeneo ni Mazuri yapo Barabarani.
Elezea vizuri eneo lilipo mtu akitaka awe ameshajua location, hiyo pugu kwa chini ni too general, kwa chini kwenda wapi?
 
Mambo hebu nitafute nikupe uwanja wenye akili bei ya JPM hapo Kivule Chakenge. 30 kwa 30
 
Viwanja viwili vinauzwa maeneo DSM Majohe Pugu Secondary kwa Chini. Eneo moja Ukubwa ni 28 kwa 25 Bei ni mil 18 MAONGEZI yapo. Na eneo lingine Ni 73× 42 mil 60 MAONGEZI yapo ili kubwa pia tunakata kuanzia 20×20 bei mil 15. Karibuni Maeneo ni Mazuri yapo Barabarani.
Kwa bei hizo labda kama vina matofari ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom