Nahitaji Vyumba Vya Madarasa Vya Kukodi

Prof Decentman

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
276
140
Wadau habari zenu??

Kwa yeyote mwenye vyumba kuanzia viwili ambavyo vinafaa kufanywa madarasa naomba anijulishe.

Vyumba hivyo vitatumika kwa ajili ya kufundishia wanafunzi.

Tungependelea vyumba hivyo viwe wilaya ya Ilala japo hata maeneo mengine ya mkoa wa dar naweza kuja kuviangalia kama vinafaa.

Kwa sababu maalum kabisa sitaweka hapa maelezo ya kutosha. Ila mwenye navyo anaweza kuweka taarifa hapa, PM au kutuma kwa email hii

humble2080@yahoo.com.

Huyu ndio contact person. Aksante
 
Back
Top Bottom