Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Pata net za kisasa, zenye muonekano amazing, pana na ndefu, high quality, unaweza kufunga kwa stayle tofauti tofauti, ziko aina tofauti tofauti, zimebaki chache, bei ni Tshs. 55,000 tu. Karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasambaza dagaa safi kutoka kwanza kwa jumla na reja reja pia mkoani ninatuma. Kwa mwenye kuhitaji ani pm.
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Haina shida yoyote
0 Reactions
6 Replies
2K Views
2001 Mark 2 petrol,2000cc,4doors,5seater year:1997 plate BUT price: Maelewano njoo inbox Contact: 0743233710 & 0620457021
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wa JF, Nilikua naulizia wapi naweza kupata 'dry ice' kama kuna member anafahamu naomba anielekeze au anipatie contact za wahusika. Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninazo vocha za Tccl za laki moja, zipo mbili nauza 80k kwa kila moja 0714007173
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Kwa nini udongo? Kama ilivyo kwa binadamu na wanyama pale unapokula chakula chenye virutubisho bora na vivyo hivyo mwili wako unvyozid kunawiri vizuri, je? Ili mimea ikue vzr inahitaj nini? Jibu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Condition :Excellent condition. Mahali : Dar es salaam Bei : Laki moja na nusu tuu. Contacts 0622 053080
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana jamii forum nauza ac yang mpya iliyo toka german nataka nimalizie ada ya mtoto ina horsepower 1.5 haili umeme kabisa ubaridi wake wake ni wakuganda napatikan dar es salaam maeneo ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sofa.....200,000/= TV ndogo(tumbo)80000 Mihani gasi na jiko 250000 Pm ntatoa namba, Npo dar...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Autoguru garage ni kampuni inayoshughulika na utengenezaji wa magari kuanzia, kunyosha magari na kupiga rangi service za magari diagnosis engine overhaul kubadilisha vioo Alarm systems Fleet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wenzangu. Natafuta kiwanda ambacho wataweza kunitengenezea mafuta asili ya mwilini. Dar au sehemu yoyote iliyoko karibu na Dar. Majibu naomba mni inbox. Waweza kuandika kwa English au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tembelea website yetu www.autogurugarage.co.tz kwa mahitaji ya huduma za gereji na fanicha. Unaweza pia kuweka oda yako kwenye mtandao wetu. Tuwasiliane pia kwa namba 0688767668/0715967107 au...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Bei laki tisa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
TIBA ZA ASILI Pata Dawa za uhakika zilizo thibitishwa Na mkemia mkuu, Nidawa za asili zinazo fanya vizuri Tanzania Tuna Dawa za magonjwa mbalimbali kama vile:- Kundi A. 1.madonda ya tumbo...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Kuna samsung J1 ace Tsh 140000; Samsung J2 Tsh 200000; Tecno L8 170000 na tablet inayopiga simu Sh 100000 tu. NB simu ni used kutoka SA ila bado ni kama mpya na hiyo bei haipungui niko dar call...
0 Reactions
5 Replies
848 Views
wadau naombeni msaada nahitaji mashine ya kubangua korosho, kwa anayefahamu zinakopatikana na be zake, please anijulishe.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Natafuta hiace panki ya bei nafuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A beautifully presented 1 bedroom apartment located in stereo area kinondoni. The apartment benefits with tiles flooring, located on the first floor has been furnished and open plan reception...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Back
Top Bottom