Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi mwisho karibu na Songas
Gharama. 15M ina maelewano mazuri ya punguzo la bei Au kulipa kwa awamu.
Size ni miguu 10 kwa 30
Tayari kilianzishiwa ujenzi wa nyumba ya...
Mafuta, ya mawese hutumika kama Tiba Asilia kwa magonjwa mbalimbali na pia hutumika kwa kupikia na wengine pia hutumia kwaajili ya kutengenezea sabuni za magadi na kadhalika, mwenye kuhitaji...
Mafuta, ya mawese hutumika kama Tiba Asilia kwa magonjwa mbalimbali na pia hutumika kwa kupikia na wengine pia hutumia kwaajili ya kutengenezea sabuni za magadi na kadhalika, mwenye kuhitaji...
Ni Eneo la Hekari 50 lililopo Tonga malenga (Ruaha IRINGA).Unaweza kulitumia kwa kujenga sehemu ya watalii (Camp site) kwa sababu wanyama toka mbuga ya Ruaha (Ruaha National park ) hua wanatembea...
Nyumba yenye vyumba viwili na sitting room inapangishwa Mbezi ya kimara .kimoja master room .kina,choo ndan .na nyumba yenye get na parking gari .inapangishwa sh 140,000 kwa mwezi.contact whatsap...
Nauza desktop yangu ya HP compaq shilingi 250,000 ina specs hizi
-processor ni core 2 duo e8400 3.0ghz
-ram yake ni 2gb
-hdd ni 160gb
-ina gpu ya nvidia gt 210
-port 4 za display HDMI, VGA mbili...
Eneo: Goba njia nne
Kimepimwa na kina namba ambayo ni plot 144
Size: 1490 sqm
Bei: 26 mils maongezi yapo
Mawasiliano: +255714481167. huyo ndiye mhusika mwenyewe
KUNA WIZI MPYA UMEANZA KUSHIKA KASI HUMU HASA WANUNUAJI WENGI AMBAO NI MATAPELI.
Wakuu heshima kwenu wana jukwaa,
Kuna wizi mpya wa simu umeingia kwa kasi ya ajabu kuna watu wanachukua namba za...
Usiende kariakoo ni duka linalopatikana Sinza Madukani opposite na AAR HOSPITAL
Tunauza nguo,viatu(vya ofisini +raba) vya kike na kiume kwa bei nafuu kuliko kariakoo
Tunauza kwa jumla na...
Nahitaji Kiwanja Mwanza,maeneo ya Luchelele,Buswelu.Minimum Sq.metres 600, maximum 800 sq.metres.Kiwe Surveyed, Miundombinu ya Maji,umeme na Barabara iwepo.Mwenye nacho aje PM.Madalali si ruxa.