Eneo la Biashara Heka 50 linauzwa bei sheee

Princep

Senior Member
Nov 25, 2016
185
250
Ni Eneo la Hekari 50 lililopo Tonga malenga (Ruaha IRINGA).Unaweza kulitumia kwa kujenga sehemu ya watalii (Camp site) kwa sababu wanyama toka mbuga ya Ruaha (Ruaha National park ) hua wanatembea mpaka hapo. ..Vibali vyote Vipo. .
 

LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
2,000
Mzee toa cordinates zake niliamgalie kwenye google maps...au kama vipi fungua google map,locate cordinated zake,screenshot then upload hapa tulione vividly...ni process rahisi sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom