Unauza au unalingishia kwamba una laptop HP Pavilion i7?! Kama ni kweli how come unafanya as if wauza laptop ni wachache sana kiasi kwamba, wahitaji wakiona hata tangazo kama lako ambalo ni mifupa mitupu bado watapigana vikumbo kuulizia details zilizokosekana!
Hakuna screen size
Hakuna status; kama ni mpya, imetumika n.k!
Hakuna picha
Hakuna hiki wala kile!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.