Nauza Photocopy Machine

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
514
Habari za weekend wana JF
Nauza mashine yenye maelezo kama ifuatavyo:
1. Aina ya mashine ni CANON iR1024A
2. Inauwezo wa a. Printing b. Scanning c. Photocopy
3. Mashine bado ina hali nzuri sana kwani nilikuwa naitumia mimi mwenyewe kwa project zangu ambazo zimeisha kwa sasa
4. Imetumika kwa muda wa miezi 7
5. Haina tatizo lolote
6. Inapatikana Kigamboni, Dar Es Salaam
7. Bei Tsh 500,000 maongezi yapo
8. Mawasiliano; 0659 211 222
9. Hata kwa wahitaji wa mikoani ukihitaji tukafika makubaliano basi utasafirishiwa ila gharama za usafiri ni juu yako
Kwa picha zaidi whatsapp namba hiyo juu nicheki
Karibuni
1466258347006.jpg

1466258381046.jpg

1466258419648.jpg

1466258459773.jpg
 
Back
Top Bottom