chrissmeck
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 110
- 105
Nauza photocopy machine canon IR 2420 kwa sh. 1m tu. Ni mpya. Nimetolea copy chini ya elfu mbili.
Mawasiliano yako mkuuNauza photocopy machine canon IR 2420 kwa sh. 1m tu. Ni mpya. Nimetolea copy chini ya elfu mbili.
imetoa copy ngap na tsh ngap?Nauza photocopy machine canon IR 2420 kwa sh. 1m tu. Ni mpya. Nimetolea copy chini ya elfu mbili.
Copy ni chini ya elfu mbili. Naiuza m 1 tu.imetoa copy ngap na tsh ngap?
Niko mbezi beach maeneo ya goigiunapatikana wapi mkuu?
Bei ni hyo fixed! Nilinunua 1.9m mkuu. Ninauza kw vile nataka kubadlisha biasharaNina 750,000 mkuu nahitaji, serious
Nimeshaiuza mkuuHiyo photocopy bado unayo mkuu tuongee biashara au?