Dereva wa Kirikuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 751
- 624
Heshma kwenu wakuu..
Mdau wenu kwa sasa nipo Arusha kikazii.
Natafuta nyumba ya kupanga kwa kipindi hikii
Eneo; Njiro..mwisho contena area
Aina; one bedroom apartment/studio apartment plus(+) parking
Kodi; Maelewano kulingana na ubora wa nyumba na eneo..
Natanguliza shukrani kwenu..