Unamaanisha nini?Hii n special kwa ajil ya ma DJ inaweza kua nimbo yyte lakn ikawa na mfumo tofaut kdg jinsi inavyoanza
na original version
mbona kuna extended nyingine hazina tofauti na original version mkuuHii n special kwa ajil ya ma DJ inaweza kua nimbo yyte lakn ikawa na mfumo tofaut kdg jinsi inavyoanza
na original version
Old school na old school bluesMkuu naweza kupata old school aisee za ukweli
Karibu lkn pengine umeichkulia juu juu sn post hiiSorry for this.
Mi nachoamini ni kwamba ma dj huwa wanaachia mixtape tu japo haziuzwi most of the time zinakua free au makubaliano yanakuwepo
swali: je umeingia mkataba na uongozi wa hao wasanii kuwa unaziuza nyimbo zao mitandaoni na wao watapata share zao?
Je una hakimiliki za hizo nyimbo kana kwamba una uwezo wa kuziuza kwa watu wengine?
Je umeongea na producers wa hizo nyimbo kwamba unaziuza?.
NB: Kama P Funk yupo humo kwenye list yako bas ujue umekwisha maana yupo humu.
Nakutakia mauzo mema ya kazi za wasanii wa kitanzania wasio na sheria kali kuhusu kazi zao.