Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,576
- 4,069
-Ni used like brand new, maana toka siku ya kwanza hadi leo ipo kwenye screen protector na cover lake. Haina any scratches, haijapauka na ata mkwaruzo mmoja hamna.
Ni Duos, ina 32Gb internal memory. Specifications nyingine ni izo za Galaxy S7.
HAINA TATIZO LOLOTE na HAIJAWAI KUPIGWA SPANA. Ina Warranty ya 2yrs from Samsung East Africa..
nakupa na box lake, warranty card na risiti yangu mimi niliyonunulia. Pia unapata Charger yake Original (adaptive fast charging) na USB connector, earphones zilipotea.
Nauza kwa sababu binafsi, kufulia ikiwa mojawapo.
Bei ni 1.1M Tshs.
Karibuni wote.
N.B simu ni Original, haina tatizo lolote. Haijawai kupigwa spana ama kuguswa na mikono zaid yangu.
Sitaki ujanja ujanja na uswahili ndo mana nimetoa maelezo ya kutosha.
Ni strictly business.