Mbona hujasema uko wapi, safari inaanzia wapi na tabora ni ipi isije kuwa ni vijijini halafu unasema tu taboraWakuu nahitaji NOAH na dereva wake kwenda Tabora. Iwe na hali nzuri na uwezo wa kubeba watu saba na kuendelea. Maximum budget Laki nane.
Mwenye nayo na aliye tayari kuchukua pesa hiyo awasiliane na mimi PM.
Nadhani ungemcheki PM kama alivyoagizaMbona hujasema uko wapi, safari inaanzia wapi na tabora ni ipi isije kuwa ni vijijini halafu unasema tu tabora
Hapana kaka mimi nimeuliza kwa manufaa ya wengine. Maana utakuta mtu yuko mtwara anasema anaenda tabora . alitakiwa kuweka tangazo lililowazi. Niko mahali A tunaenda B na hapo hata yeye huko pm angepunguza maswali maana kila atakayekwenda atamuuliza hayo maswaliNadhani ungemcheki PM kama alivyoagiza
Mkuu biashara za hadharani siku hizi watu hawazitaki, nadhani huko PM ni field nzuri kwao kufanikisha yaoHapana kaka mimi nimeuliza kwa manufaa ya wengine. Maana utakuta mtu yuko mtwara anasema anaenda tabora . alitakiwa kuweka tangazo lililowazi. Niko mahali A tunaenda B na hapo hata yeye huko pm angepunguza maswali maana kila atakayekwenda atamuuliza hayo maswali