Msaada wa kupata usafiri wa kusafirisha magunia ya dagaa from Mwanza to Mbeya

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
619
Habari wanajf
Nahitaji kupata mawasiliano ya malori au Fuso nahitaji kusafirisha magunia yangu ya dagaa kutoka mwanzA kwenda Mbeya.
Unaweza Ni PM au ukaweka contacts zao hapa
 
Umenunua Dagaaa Magunia Umeshindwaje kupata Usafiri hao walokuuzia inamaana umeshindwa kuwauliza jinsi ya kupata Usafiri...umeamua kuja Kutafuta Usafiri Jamii Forums
 
Back
Top Bottom